NEWCASTLE NA MAN CITY ZAHARIBINA ZATOKA 1-1




Newcastle na Manchester City Jana zilitoka Sare ya 1-1 kwenye Mechi ya Ligi Kuu England matokeo ambayo si mazuri kwa upande wowote kwani hayasaidii sana Klabu hizo katika vita zao za kubaki 4 Bora na nyingine kuchomoka toka kushushwa Daraja.
City walitangulia kufunga katika Dakika ya 14 kwa Bao tata la Sergio Aguero la kichwa alipounganisha frikiki ya Aleksandar Kolarov huku akiwa Ofsaidi.
Newcastle walisawazisha Dakika ya 31 kwa Bao la Vurnon Anita.
Matokeo hayo yamewaacha Newcastle wakiwa Nafasi ya 19 ikiwa ni nafasi 1 tu toka mkiani wakati City bado wapo Nafasi ya 3.
VIKOSI:
Newcastle: Darlow, Anita, Mbemba, Lascelles, Dummett, Tioté, Colback, Townsend, Sissoko, Perez, Cisse
Akiba: Wijnaldum, De Jong, Shelvey, Aarons, Saivet, Woodman, Mitrovic.
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Mangala, Kolarov, Fernando, Delph, Jesus Navas, Toure, De Bruyne, Aguero
Akiba: Sterling, Caballero, Bony, Fernandinho, Demichelis, Otamendi, Iheanacho.
REFA: Kevin Friend
LIGI KUU ENGLAND
Ratiba:
Jumatano Aprili 20
2145 West Ham v Watford          
2200 Liverpool v Everton            
2200 Man United v Crystal Palace          
Alhamisi Aprili 21
2145 Arsenal v West Brom          
Jumamosi Aprili 23
1445 Man City v Stoke
1700 Aston Villa v Southampton           
1700 Bournemouth v Chelsea               
1700 Liverpool v Newcastle                  
Jumapili Aprili 24
1605 Sunderland v Arsenal         
1815 Leicester v Swansea 
Jumatatu Aprili 25
2200 Tottenham v West Brom     


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment