CHECK AZAM WALIVYOITOA SIMBA NAFASI YA PILI
MABAO mawili yaliyofungwa na kiungo wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mudathir Yahya ‘Muda’, kwenye ushindi wa 2-0 yametosha kabisa kuiua Majimaji ya Songea ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam

0 comments:
Post a Comment