Diamond anaandaa reality TV show yake, P square ndani (+Audio)


Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, DIMBATZ imekurekodia stori  zote za April 25 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na Stori ambayo imepata airtime ni hii ya P square kushoot video na Diamond Platinumz.13102417_221075748268054_702599398_n
Wasanii wakubwa Afrika ambao wanaunda kundi la P square wameonekana kwenye reality show ya Diamond Platinumz wakiwa location South Africa kwa ajili ya kushoot ngoma mpya na hii ni kauli ya Diamond Platimuz……
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment