Exclusive: Picha 10 kutoka ndani ya studio, hapa ni Baraka Da Prince na Alikiba…

Ni Usiku wa 27, 2016  ambapo muunganiko wa ladha mbili kutoka kwenye kiwanda chaBongo Fleva unagusa headlines za burudani baada ya msanii Baraka Da Princekumshirikisha msanii Alikiba kwenye single yake mpya.
Single hiyo mpya iitwayo Nisamehe inayotarajiwa kuachia siku za hivi karibuni imetayarishwa katika studio za THT chini ya Emma The Boy.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka studio jinsi collabo hiyo ilivyokuwa ikifanyika.
.
.Producer Emma The Boy
.
.
.
.
.
.Katikati ni msanii Ommy Dimpoz naye alipata time ya kushuhudia collabo hiyo ilivyofanyika studio za THT chini ya producer Emma The Boy
.
.
.
.
.
.
.
.Kushoto ni Alikiba akiwa na Baraka Da Prince 
.
.Producer Emma The Boy 
.
.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment