
Mtu wangu wa nguvu stori zote za April 22 2016 kutokea kwenye DIMBA, hizi hapa zisikupite,DIMBA imekurekodia stori zote ambazo zimepata airtime leo, hii ni moja kati ya stori ambayo imepata airtime, ni stori inayomhusu staa kutoka bongoflevani Chege Chigunda.1169004_1303985609617521_846355957

Pamoja na Hitsong ya Sweety sweety kufanya vizuri nje na ndani ya nchi lakini Chege hajawahi kuiperfom hii ngoma kwenye stage, hii ndio sababu……..>>>’Nikwasababu za kibiashara mimi natarajia kutoa album yangu kwahiyo album inatakiwa kufanyiwa lauch na sweety sweety mafanikio yake ni makubwa lakini siwezi kusema ni mafanikio gani kutoka na kuwa sijaanza kupanda kwenye majukwaa’;-Chege Chigunda

0 comments:
Post a Comment