LEAKED: Watarajie wachezaji wa Arsenal katika muonekano huu msimu wa 2016/2017


Ni kawaida kwa vilabu vya soka barani Ulaya kuwa na utamaduni na mbinu tofauti tofauti za kuhakikisha kila mwaka wanaendeleza kuiingizia klabu mapato, moja kati ya mbinu zinazotumika kuiingizia klabu mapato ni kubuni muonekano wa jezi mpya kila msimu pasipo kubadili rangi husika za klabu ili shabiki avutike kununua kila msimu.
arsenal-16-17-away-kit-2
Hizi ni jezi za ugenini watakazotumia msimu wa 2016/2017
April 26 2016 stori kutoka mtandao wa 101greatgoals.com wameonesha jezi mpya zaArsenal zitakazotumika msimu wa 2016/2017, jezi hizo za Arsenal hazijatolewa wala kutangazwa rasmi na klabu hiyo bali zimevuja kutoka vyanzo vya ndani ya klabu hiyo na bado zitaendelea kutengenezwa na Puma kama kawaida.
bv
Huu ni muonekano wa jezi mpya za nyumbani watakazotumia msimu wa 2016/2017
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment