Mapenzi yawagombanisha mastaa hawa kutoka kiwanda cha muziki wa dansi (+Audio)

Mpenzi anauma sana ndio kauli ya April 21 2016 kupitia U Heard ya Clouds Fmnakukutanisha na stori ya Chaz Baba kumchukulia Khalid Chokoraa mpenzi wake, Soudy Brown amemtafuta Khalid Chokoraa na stori kamili unaipata hapamillardayo.com.
>>>’Kusema ukweli Charz Baba ni Rafiki yangu sana lakini kitendo alichokifanya sio kitu kizuri kamchukua mpenzi wangu ambaye anajua kabisa na mpaka barua nimeshapeleka kwao kwa hiyo kitendo alicho kifanya ni cha kinyama sana cha kunizunguka mimi kwa mke wangu mtarajiwa’;-Khalid Chokoraa
>>>’lakini na mimi nimeamua kumuonesha kama mimi ni mtoto wa mjini nimemchukua mke wake wa ndoa alafu nikaenda kukaa nae sehemu tukaenjoy sana mimi nimemuonesha kwamba kitu alichokifanya hata mimi naweza nikakifanya‘;
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment