Mrembo aliyeoteshwa ndoto ya kukutana na Diamond Platnumz U Heard (+Audio)

April 20 2016 kupitia U Heard ya Soudy Brownnakukutanisha na binti anayedaiwa kuoteshwa na kusikia sauti zaidi ya mara tatu inayomwambia afunge safari kutokea Dodoma  kuelekea Dar kukutana na Diamond Platnumzmillardayo.com imekuwekea full stori.
Screenshot_2016-04-20-16-58-19-1
Ni sauti kama ya kiume yaani sioni mtu lakini nasikia kitu kinaniambia  kwamba nikitaka kufanikiwa nisikae kuangaika yaani nikitaka kufanikiwa nifunge safari kuja Dar, maisha ya nyumbani kwetu ni magumu sana tunaishi kwenye nyumba ya kupanga‘ >>>Mtoto aliyeoteshwa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment