
Baada ya kufanya vizuri na hit single kadhaa ikiwemo ‘Bilima’ katika game ya muziki wa Bongofleva Nuh Mziwanda leo April 26 2016 ameachia brand new track aliyomshirikishaAlikiba, Mziwanda ameachia audio ya ‘Jike Shupa’ na unaweza kuidownload kwaKUBONYEZA HAPA >>> “Jike Shupa’

0 comments:
Post a Comment