
April 28 2016 Soudy Brown ametuletea hii ya mastaa wawili kudaiwa kutoka kimapenzi baada ya picha yao kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, kama hukupata time ya kuisikiliza hii usijali nimerecord Full stori na utaipata hapa millardayo.com.
Shilole na Moni wa Central zone wanadaiwa kutoka kimapenzi baada ya picha yao kusambaa ikiwaonesha kama wanapulizia moshi midomoni kwao …..>>>’kusema ukweli mimi sijui hiyo picha ikoje na sio kweli mimi sitoki na shilole na haijawahi kutokea alafu mimi naomba tuongelea kazi zangu‘:-Moni Central Zone
>>>’Alafu nimeona picha yenyewe kwaza huyo dogo sijui anataka kiki maana picha yenyewe ilikuwa ni clip kwa ajili ya shoo ya Tanga alafu mimi nina Boyfriend wangu asitake kunigombanisha na mpenzi wangu‘:- Shilole 


0 comments:
Post a Comment