Baada ya klabu ya Dar es Salaam Young African kutolewa katika mashindano ya Kombe la klabu Bingwa barani Afrika na klabu ya Al Ahly ya Misri kwa jumla ya goli 3-2 usiku wa April 20 2016, mchana wa April 22 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilirejea Dar es Salaam na moja kwa moja kuelekea kambini kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA utakaochezwa April 24 Mkwakwani Tanga na wenyeji Coastal Union.

0 comments:
Post a Comment