PICHAZ 9: Azam FC tayari wametua Dar es Salaam wakitokea Tunisia, wanaunganisha Mwanza


Saa chache baada ya Dar es Salaam Young Africans kutua Airport Dar es Salaam,Azam FC na wao wakafuatia kutua wakitokea Tunisia na kikosi chao cha wachezaji karibia wote kasoro Farid Musa aliyeunganisha kutokea Tunisia kwenda Hispania kwa majaribio. Azam FC wamewasili lakini wanaondoka usiku wa saa 20:00 kuelekeaMwanza kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la FA dhidi ya Mwadui FC utakaochezwaShinyanga.
IMG_0002
IMG_0010
Singano
IMG_0015
Aishi Manula wa kwanza akifuatiwa na Aggrey Morris
IMG_0018
Ame Ally
IMG_0028
IMG_0038
Jean Mugiraneza
IMG_0041
Hamis Mcha
IMG_0044
Kocha msaidizi Azam FC Denis Kitambi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment