Roma Mkatoliki kafunguka haya, kama unataka kwenda kwenye soko la international (255 +AUDIO)

Mtu wangu wa nguvu kama wewe ni mpenzi wa burudani basi hii isikukose, nikupitia 255 ya XXL ambapo millardayo.com inakupa fursa ya kusikiliza stori zote ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya April 20 2016 na  stori ambazo zimepata airtime ni pamoja na hii yaRoma Mkatoliki kuongelea uhaba wa wasanii wa nyumbani kwenye soko la nje.
10575951_1757783707788066_577688984_n
Roma Mkatoliki on Stage
Bado list ya wasanii wetu wa nyumbani kwenye soko la nje sio kubwa,  sasa leo msaniiRoma Mkatoliki amefunguka kupitia 255 ‘Muda mwingine tunatofautiana misimamo unaweza ukakuta msanii anaona hapa kweli ni tundu la hela lakini unakuta mtu anakaza mpaka kwenye biashara kwahiyo muda mwingine unaona wasanii  wanachelewa kutokana na matabaka tuliyonayo‘>>>Roma Mkatoliki
kingine hofu, wasanii wengene wanaona nikimpa nafasi huyu itakuwa shida mimi najua kuna wasanii wako bongo ukiwapa nafasi ya colabo na msanii kutoka international  hakuna cha remix wala nini ndio ameshatoka‘>>>Roma Mkatoliki
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment