RONALDO ATABAKI KUWA RONALDO.

RONALDO-AIMALIZA-WOLFSBURG














 REAL MADRID wameitwanga Getafe Ugenini Uwanjani Coliseum Bao 5-1 na kupanda hadi Nafasi ya Pili ya La Liga wakiwa Pointi 1 nyuma ya Vinara Barcelona ingawa wamecheza Mechi 1 zaidi.
Bao za Leo za Real zilifungwa na Wachezaji Watano tofauti na kubwa ni Cristiano Ronaldo kufunga Bao ambalo linazidi kumpaisha katika Ufungaji Bora wa La Liga na sasa yupo Bao 5 mbele ya Luis Suarez wa Barca
MAGOLI
Getafe 1
Pablo Sarabia, Dakika ya 83
Real Madrid 5
Karim Benzema, Dakika ya 29
Alarcon Isco 40
Gareth Bale 50
James Rodriguez 88
Cristiano Ronaldo 91
Ushindi huu wa Real hii Leo ni presha kubwa kwa Barca ambao hawajashinda katika Mechi 3 za La Liga zilizopita ambazo walitoka Sare Ugenini 2-2 na Villarreal, kufungwa 2-1 na Real ndani ya Camp Nou na kisha kufungwa 1-0 Ugenini na Real Sociedad.
Pia, Juzi walichapwa 2-0 na Atletico Madrid na kutupwa nje ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, Kombe ambalo wao walikuwa Mabingwa Watetezi.
LA LIGA
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo
Ijumaa Aprili 15
Levante 2 RCD Espanyol 1           
Jumamosi Aprili 16
Getafe CF 1 Real Madrid CF 5
1915 Las Palmas v Sporting Gijon
2130 SD Eibar v Real Sociedad
2305 Celta de Vigo v Real Betis
Jumapili Aprili 17
1300 Malaga CF v Athletic de Bilbao
1700 Sevilla v Deportivo La Coruna
1915 Atletico de Madrid v Granada
1915 Rayo Vallecano v Villareal
2130 FC Barcelona v Valencia
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment