Ni moja ya movie bora toka mwaka 2016
umeanza, Mlinzi wa Rais wa Marekani mwenye ujuzi wa hali ya juu ambaye
alipigana kwa saa kadhaa mpaka kufanikiwa kumuondoa Rais chini ya mikono
ya Magaidi waliotaka kumuua Rais huyo na kurusha video live kwa ajili
ya kulipiza kisasi…. hii hapa chini ni video ikionyesha jinsi
ilivyotengenezwa
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment