VIDEO: Moja kati ya matukio ya kukumbukwa ya Prince ni hili la kumtoa Kim Kardashian kwenye stage


Wakati dunia inaomboleza kifo cha mwanamuziki nguli Prince Rogers Nelson ambaye alifariki April 21 2016 katika makazi yake ya Minneapolis, taarifa zilisema alikutwa amekwama kwenye lifti katika studio za Paisley Park.
Kim Kardashian alikuwa ni shabiki mkubwa wa Prince ambapo kwenye concert ya mwaka 2011, Prince alimwita Kim Kardashian kwenye stage ili kudance nae, lakini Prince alimshusha kwenye stage baada ya Kim kutokuonesha ushirikiano.
Kim Kardashia kipindi hicho akiwa na miaka 30 alitweet kuelezea kwa upande wake baada ya tukio hilo…….>>> ‘I was so nervous I froze when Prince touched me!!!
kim 3 twit
kim 1 kim 2

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment