
April 11 2016 klabu ya Simba ya Dar es Salaam ilicheza mchezo wake wa robo fainali ya Kombe la FA dhidi ya Coastal Union ya Tanga uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kukubali kufungwa kwa jumla ya goli 2-1, baada ya hapo wachezaji wa Coastal Union walinaswa na Camera za Ayo Tv dressing room wakishangilia.

0 comments:
Post a Comment