
Navy Kenzo ni kundi la wakali wa bongofleva linaloundwa na wawili ambao ni Aika naNahreel, hii video ni ya show yao Club 71 Tegeta Dar es salaam ambapo wapo kwenye mzunguko wa Tour ya kuitambulisha single yao mpya ‘kamatia’ unaweza kutazama video ya show yao hapa chini…

0 comments:
Post a Comment