BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI AJTC WAKIWA WANATEGEA USIKIVU KATIKA MASHINDANO YANAYOENDELEA CHUONI

wanafunzi wakiwa wanasikiliza kwa makini uwasilishwaji wa vipindi mbalimbali katika ukumbi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha

MashindanoYaUtangazajiYameanzaRasmiHii Leo  Katika  Chuo Cha Uandishi Wa Habari Na UtangazajiArusha,KwaWanafunziKuwasilishaVipindiMbalimbali Kwa Lengo La KuongezaUbunifu Na UzoefuKatikaTasniaYaHabari.


MashindanoHayoYanahusishaMadarasa Zaidi YaKumi Na Tatu,AmbapoTayariDarasa La SelouLimewasalishaVipindiVyaoMapemaHii Leo.

HataHivyoMashindanoHayoYatafikiaTamatiSikuYaIjumaaYaTareeYa 27 ,AmbapoMshindi Wa Kwanza, Wa Pili Na NaTatuWatapewaZawadiMbalimbaliIkiwemoKombePamoja Na FedhaTaslimu Za Kitanzania.

           Pia WanafunziKatikaChuonihapoWamekuwa Na Mwitikio wa ainayakehukukiladarasalikijidhatitikikamilifukuibukakidedeakatikaMashindanoHayo .

MashindanoHayoUfanyikaKilaMwakaKatikaChuo  HichoAmbapoWakufunziUfunguaMashindanoHayo  Kwa KufanyaVipindiMbalimbaliKituAmbachoHuongezaShauku Na Mwitikio Kwa WanafunziChuoniHapo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment