Burudani LEAKED: Ngoma mpya ya Harmonize & Raymond ‘Penzi’, unaweza kuisikiliza hapa

Wakati ngoma za ‘Bado’ ya Harmonize ft Diamond inaendelea kufanya vizuri na ‘Kwetu’ ya Raymond inaendelea kufanya vizuri, leo Mei 2 2016 Harmonize na Raymond wameingia kwenye headlines baada ya ngoma yao waliofanya pamoja ya ‘Penzi’ kuvuja, millardayo.com imeinasa na kukusogezea track hiyo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment