COUTINHO ALIVYOCHUKUA MWANASOKA BORA WA LIVERPOOL MSIMU HUU



Kiungo mshambuliaji Philippe Coutinho ameshinda tena nafasi ya mchezaji bora wa Liverpool.
Coutinho ameshinda tuzo hiyo katika hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.

Raia huyo wa Brazil amekuwa na msimu mzuri na kikosi cha Liverpool.
Kiungo Emre Can naye ameibuka na tuzo ya mchezaji anayechipukia wa Liverpool huku Brad Smith akibeba tuzo ya mchezaji bora kijana aliye katika shule ya klabu hiyo.














Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment