DE GEA, SMALLING WAIBUKA WACHEZAJI BORA WA MANCHESTER UNITED




David de Gea ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa mwaka wa Manchester United aliyeteuliwa na mashabiki wakati beki Chris Smalling ameteuliwa kuwa mwanasoka bora kutoka ndani ya klabu.

Pamoja na De Gea na Smalling kushinda tuzo hiyo ya msimu wa 2015-16, mshambuliaji Anthony Martial ameshinda bao bora la mwaka.

WASHINDI WOTE MANCHESTER UNITED
Mwanasoka Bora wa Mwaka: David de Gea
Mwanasoka Bora wa MwakaChris Smalling 
Bao la msimu Vs Liverpool: Anthony Martial v Liverpool  










Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment