
Kwenye Exclusive Interview ya DIMBA mwimbaji staa wa bongoflevaDiamond Platnumz hatosahau siku alipopekua simu ya mpenzi wake na kukuta msg ambazo zilimfanya mpaka leo asithubutu kushika simu ya mpenzi wake yeyote, mtazame mwenyewe akiongea hapa chini..

0 comments:
Post a Comment