Diamond Platnumz kabomoa nyumba yao ya zamani Tandale DSM na kuijenga hii mpya.

Hiyo picha hapo juu ni muonekano wa nyumbani anakotokea Diamond Platnumzalikolelewa toka anakua.. panaitwa Tandale kwenye jiji la Dar es salaam ambapo staa huyu amepakumbuka siku zote na alitumia pesa zake kupatengeneza upya kama inavyoonekana kwenye hii video fupi chini baada ya hii picha.
D
Diamond akifanya video mbele ya nyumba ya zamani.. muonekano baada ya kuibomoa na kuijenga upya ndio upo kwenye hii video fupi hapa chini
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment