Exclusive:PICHA 9 kutoka ndani ya studio, hapa ni Prezzo na Baraka Da Prince…..

Ni Usiku wa  Mei 25 , 2016  ambapo muunganiko wa ladha mbili tofauti kutoka  Tanzania na Kenya unagusa headlines za burudani baada ya wasanii wawili Baraka Da Prince naPrezzo kuingia studio na kuandaa single yao mpya itakayotoka hivi karibuni.
Single hiyo mpya imetayarishwa katika studio za Fishcrab chini ya producer Sappy, hizi ni baadhi ya picha kutoka studioni hapo.
.
.
.
.Msanii kutoka Nairobi Kenya, Prezzo akitayarisha single mpya anayofanya na Baraka De Prince katika studio za Fishcrab
.
.
.
.
.
.
.
.Pichani:Producer  Sappy ndie amehusika kutayarisha single hiyo mpya ya Prezzo naBaraka De Prince
.
.
.
.Kushoto ni msanii kutoka Kenya Prezzo akiwa studio na Baraka De Prince
.
ULIIKOSA HII YA BARAKA DA PRINCE KWENYE STAGE MOJA NA MPENZI WAKE NAJ ITAZAME HII VIDEO HAPA
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment