HOFU YA BOMU, MASHABIKI MAN UNITED WATOLEWA UWANJANI OLD TRAFFORD, MECHI YACHELEWA KUANZA


Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi kati ya Manchester United dhidi ya Bournemouth.

Taarifa inaeleza ni hofu ya bomu ndiyo iliyosababisha hali hiyo baada ya kuonekana kwa mzigo mdogo ambao haukuwa na mwenyewe.






Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment