Ifahamu Project mpya ya Ommy Dimpoz kwenye muziki wa Bongofleva (+Audio)

Mtu wangu wa nguvu kama wewe ni mpenzi wa burudani basi hii isikukose, millardayo.com inakupa fursa ya kusikiliza 255 ya May 04 2016 kutokea XxlyaClouds FM,  stori ambazo zimepata airtime ni pamoja na hii ya Ommy Dimpoz kumtambulisha msanii chini ya kampuni ya PKP
>>>Nimekuwa na dream tangu hata mimi sijasimama vizuri, tumeanza na Nedy kuna msanii mwingine wa kike lakini itakuwa mapema sana kumtaja, kigezo kikubwa ni kipaji:- Ommy Dimpoz
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment