LEO TETTONHAM KUPIMA KIASI CHA MAJI KWA CHELSEA JINSI ITAKAVYOJIFUA NA LEICESTER CITY UBINGWA

Chelsea prevented Tottenham from reaching the Champions League in 2012 when they won the trophy

LEO STAMFORD BRIDGE Nyumbani kwa waliokuwa Mabingwa wa BPL, Ligi Kuu England, Chelsea BPL-MEI1kutashuhudia Mechi ambayo Mabingwa hao waliokwisha kuvuliwa Taji lao wanaweza kulikabidhi rasmi Taji hilo kwa Leicester City.

Jana Leicester, waliokuwa wakihitaji Pointi 3 tu kutwaa Ubingwa, walitoka Sare 1-1 na Manchester United huko Old Trafford.

Timu pekee iliyobaki ambayo inaweza kuwapiku Leicester Ubingwa ni Tottenham ambayo Leo inahitaji ushindi dhidi ya Chelsea ili kuweka hai matumaini yao.
Chelsea would love nothing more than to end Tottenham's title hopes at Stamford Bridge...
Endapo Leo Spurs watatoka Sare au kufungwa basi Ubingwa ni wa Leicester waliobakisha Mechi mbili.

Ikiwa Spurs watashinda hii Leo basi Leicester, ambao wako chini ya Meneja kutoka Italy Claudio Ranieri aliewahi kuiongoza Chelsea, wanaweza kutwaa Ubingwa Nyumbani kwao King Power Stadium Jumamosi wakiifunga Everton.

Mechi hii ni ngumu kwa Spurs kwani mbali ya kuwa ni Dabi ya Jiji la London, Wachezaji wa Chelsea, kama vile Eden Hazard na Cesc Fabregas, wameapa ni bora Ubingwa uende kwa Leicester na si kwa Mahasimu wao Spurs.
LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumatatu Mei 2
2200 Chelsea v Tottenham        
Jumamosi Mei 7
1445 Norwich v Man United                
[Saa 11 Jioni]
Aston Villa v Newcastle            
Bournemouth v West Brom        
Crystal Palace v Stoke              
Sunderland v Chelsea                
West Ham v Swansea                
1930 Leicester v Everton          
Jumapili Mei 8
1530 Tottenham v Southampton          
[Saa 12 Jioni]
Liverpool v Watford        
Man City v Arsenal          
Jumanne Mei 10
2145 West Ham v Man United            
Jumatano Mei 11
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Norwich v Watford
Sunderland v Everton              
2200 Liverpool v Chelsea          
Jumapili Mei 15
**Mechi za Mwisho za Ligi, zote kuanza Saa 11 Jioni
Arsenal v Aston Villa        
Chelsea v Leicester        
Everton v Norwich          
Man United v Bournemouth              
Newcastle v Tottenham            
Southampton v Crystal Palace              
Stoke v West Ham          
Swansea v Man City        
Watford v Sunderland              
West Brom v Liverpool
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment