LICHA YA KUWA UGENINI, HADI HAL TIME, TOTTENHAM INAONGOZA KWA MABAO 2-0 DHIDI YA CHELS



Game bado ngumu, Chelsea wako nyuma kwa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham. Iwapo Chelsea wakishinda, Leicester City anakuwa bingwa wa England.

Mabao hayo mawili yamefungwa na Kane na Son baada ya mabeki wa Chelsea kufanya uzembe mara mbili.


Hata hivyo matumaini ya Leicester kuchukua ubingwa “wakiwa wanakunywa kilaji” yanaonekana kutokuwa na nafasi, kwani Spurs wanaonekana kama wanaweza kuibuka na ushindi wa mabao zaidi ya hayo mawili licha ya kuwa ugenini.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment