Mabadiliko yatakayofanyika katika mashindano ya CAF ngazi ya vilabu kuanzia 2017

Usiku wa May 11 2016 wakati wa mkutano wa 38 wa shirikisho la soka barani Afrika chini ya Rais wake Issa Hayatou umetangaza mabadiliko katika mashindano ya ngazi ya vilabu barani Afrika, katika hotuba ya Issa Hayatou ameeleza mpango wa kubadilisha mfumo wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika na shirikisho.
df
Kuanzia mwaka 2017 mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika CAF yatakuwa yanashirikisha Makundi manne baada ya mawili kama mfumo wa sasa unavyofanya, mabadiliko hayo hayajaishia katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika pekee hata Kombe la shirikisho barani Afrika.
dfghj
Mkutano huo wa 38 wa CAF umefanyika Mexico katika mji wa Mexico na kuhudhuriwa na Rais wa sasa wa shirikisho la soka Duniani FIFA  Gianni Infantino akipewa sapoti na Samuel Eto’o Luis Figo na Zvonimir Boban ambapo manguli hao wa soka wamealikwa na FIFA kwa ajili ya shughuli itakayofanyika uwanja wa Azteca  Mexico.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment