MAKINDA 13 KUCHEZA FAINALI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2016

Verane
Mei 28 mwaka huu, kunako dimba la Stadio San Siro kutakuwa na pambano kali na la kusisimua la fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya likiwakutanisha mahasimu wawili wa jiji la Madrid kutoka nchini Uhisapnia yaani Atletico Madrid na Real Madrid.
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa miamba hii kukutana katika hatua ya fainali ya michuano hii, ambapo mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 2014 na Real Madrid walifanikiwa kushinda kwa mabao 4-1 na kuchukua ubingwa huo kwa mara ya kumi maarufu kama ‘La Decima’.
Kuelekea mchezo huu, tutupe jicho letu na kuwaangalia wachezaji wenye umri mdogo kabisa kucheza fainali hiyo ya ‘Champions League msimu huu’.
Real Madrid:
  1. Raphael Varane – miaka 23- (amecheza michezo saba msimu huu)
Nafasi-beki
  1. Jese Rodriguez-Umri-miaka 23
Michezo-9
Nafasi-Mshambuliaji
  1. Mateo Kovačić Umri-Miaka 22
Michezo-8
Nafasi-Kiungo
Atletico Madrid:
  1. Jan Oblak Umri – miaka 23
Michezo-12
Nafasi- Kipa
  1. Yannick Carrasco Umri- miaka 22
Michezo- 8
Nafasi-Mshambuliaji
  1. Luciano Vietto Umri– miaka 22
Michezo -5.
  1. Thomas Partey Umri-miaka 22
Michezo- 4
Nafasi-Kiungo
  1. Matías Kranevitter Umri– miaka 22
Mchezo-1
Nafasi-Kiungo
5. José María Giménez Umri- miaka 21
Michezo- 8
Nafasi- Beki
  1. Saúl Ñíguez Umri– miaka 21
Nafasi- Kiungo
  1. Óliver Torres Umri– miaka 21
Michezo- 7
Nafasi- Kiungo
  1. Ángel Correa Umri– miaka 21
Michezo- 5.
Nafasi- Midfielder
  1. Lucas Hernández Umri– miaka 20
Michezo-3
Nafasi- Beki

Comments

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment