Matokeo ya Liverpool vs Chelsea na list ya vilabu vitatu vilivyoshuka daraja EPL msimu wa 2015/2016

Tayari Ligi Kuu ya Uingereza Bingwa tumeshafahamu ni klabu ya Leicester City ambayo imeweka historia mpya, baada ya kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza katika historia yake toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, licha ya kuwa mchezo kati ya Liverpool na Chelsea ulikuwa ni mchezo mkubwa na umemalizika kwa sare ya goli 1-1.
Huku magoli yakifungwa na Eden Hazard kwa upande wa Chelsea dakika ya 32 na Christian Benteke akaisawazishia Liverpool dakika ya 90 na kufanya vilabu hivyo kumaliza mchezo huo kwa sare ya 1-1. Stori kubwa ilikuwa katika mchezo wa Sunderland dhidi ya Everton, huo ulikuwa ni mchezo muhimu kwa Sunderland kupata ushindi ili kutoshuka daraja.
JK
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment