PICHA 10: Farid Musa katimiza siku ya 5 Club Deportive Tenerife ya Hispania katika majaribio yake

Winga mshambuliaji wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Farid Musa leo Mei 1 2016 ametimiza siku ya tano katika majaribio yake ya soka la kulipwa Ulaya Club Deportive Tenerife Hispania, Tenerife  wanaripotiwa kumkubali Farid kiasi hata cha kufanyiwa vipimo vya afya na mitandao mingi ya Tanzania inaripoti kuwa Farid tayari kakubaliwa na klabu hiyo na wanataka kumsajili kwa mkopo wa miaka miwili.
IMG-20160501-WA0025
IMG-20160501-WA0029
IMG-20160501-WA0030
Farid akiwa na Yusuf Bakhresa
IMG-20160501-WA0031
IMG-20160501-WA0032
IMG-20160501-WA0020
IMG-20160501-WA0021
IMG-20160501-WA0022
IMG-20160501-WA0023
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment