Usiku wa May 28 2016 ilikuwa ni siku ya
kumtafuta Miss Arusha 2016 ambaye amerithi Taji lililokuwa likishikiliwa
na Miss Arusha 2014 Lilian Kamanzima ambaye pia ndiye Miss Tanzania kwa sasa, mchuacho ulianza kwa washiriki 17 hatimaye washiriki wakabaki watano ambapo Maurine Ayubu amenyakua taji hilo la Miss Arusha 2016/2017, Usiku huo burudani ya nguvu ilidondoshwa na wakali kutoka kundi la Navy Kenzo.

Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima

Navy Kenzo Back Stage

.

Navy Kenzo

Miss Tanzania 2014, Lilian Kamanzima

Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima

.

Mshindi wa taji la Miss Arusha 2016, Murine Ayubu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment