Picha17: Harmonize na Ruby, walivyoukamilisha usiku wa April 30 na Burudani Geita…


Usiku wa April 30, 2016 watu wangu wa Geita nao wameukamilisha mwenzi kwa kutazama burudani ya nguvu kutoka kwa mastaa wawili kutokea WCB Harmonize na nyumba ya vipaji THT Ruby wa hits single ya Forever na nyingine,Burudani imedondoshwa kwenye ukumbi wa Ambassador pale Geita hapa ninazo picha za tukio nakualika kuzitazama.
Image00005
Image00006
Image00011
Image00010
Harmonize na Crew yake kwenye burudani
Image00002
Ruby kwenye stage na burudani ya nguvu
Image00008
Image00003
Mashabiki kwenye shangwe la burudani ya nguvu
Image00004
Image00009
Image00001
Ruby kwenye burudani ya pamoja na watu wake
Image00014
Kumbukumbu muhimu, Harmonize na watu wake
Image00015
Image00016
Image00018
Harmonize na Crew yake kazini
Image00019
Harmonize na watu wake kwenye shangwe
Image00017
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment