SEKUNDE 15: Mzee Majuto ndio kastaafu kuigiza bongo movie? tazama alichoongea

Siku ya kwanza ya May 2016 jina la Mzee Majuto limetajwa tena kwenye vichwa vya habari kuhusu kuacha kwake kuigiza, kama utakumbuka aliwahi kuongea na Millard Ayo mwaka 2014 na kusema angestaafu kuigiza mwaka 2015 lakini hakustaafu, akaendelea na movie zake.
Kauli yake mpya leo May 1 2016 kupitia Instagram ya DIMDA kuna maelezo yafuatayo >>> ‘Gwiji la sanaa ya maigizo nchini Amri Athmani aka Mzee Majuto ametangaza rasmi kustaafu kuigiza na kutumia muda wake kumtumikia mola wake. Majuto amekuwa akifanya sanaa hii ya maigizo kwa muda mrefu na alianza kupata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 90’
Click video for sound
Gwiji la sanaa ya maigizo nchini Amri Athmani aka Mzee Majuto ametangaza rasmi kustaafu kuigiza na kutumia muda wake kumtumikia mola wake. Majuto amekuwa akifanya sanaa hii ya maigizo kwa muda mrefu na alianza kupata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 90. @zamaradimketema
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment