Arsenal na
Wanahabari wa England.
Ferguson ameisifia himaya ya Wenger huko Arsenal na kutobadilika kwake licha ya kusakamwa na wapondaji.

Msimu huu, Wenger alikuwa na presha kubwa ya kupondwa sana baada ya
Arsenal kuanza vyema Ligi Kuu England na mwishowe kutoweka kwenye mbio
za Ubingwa ambapo hatimae Leicester City waliutwaa.
Wadau wengi wamekuwa wakidai Wenger anaifanya Arsenal idorore kwa
kushindwa kununua Mastaa waliojengeka wa Bei mbaya na badala yake
huchukua Vijana wa bei chee tu.
Lak
ini Ferguson amedai Wenger anastahili pongezi kwa kushikilia falsafa yake.
ini Ferguson amedai Wenger anastahili pongezi kwa kushikilia falsafa yake.
Akiandika kwenye Makala maalum ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, Ferguson
alisema; "Amekuwa hodari. Sasa anapondwa lakini nahusudu msimamo wake wa
kutoyumba licha ya kupondwa. Amebaki na kile anachoamini. Watu
wanaofanya hivyo ni Makocha waelewa!"
Aliongeza: "Wenger hajabadili uchezaji wa Timu. Alipofika
alirithiki Wachezaji kama Steve Bould, Martin Keown na Tony Adams lakini
Timu yake ilibadilika walipoingia kina Thiery Henry, Robert Pires,
Emmanuel Petit na Sylvain Wiltord. Utamaduni wa Timu ulibadilika."
"Ikawa Timu kali na uzoefu aliopata na Timu hiyo umemfanya
asibadilike kuhusu aina ya Mchezaji anaemtaka na uchezaji anaotaka. Siku
zote ni Mipira ya kupasua Difensi huku Wachezaji wakichomoka kwenye
nafasi safi, pasi nzuri kwenye engo kwa Mastraika

0 comments:
Post a Comment