Sky Sports News wameripoti Man United kuwa na maamuzi haya kuhusu Jose Mourinho

Bado jina la kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho limekuwa likitajwa kwa ukaribu katika mbio za kuwania nafasi ya kocha wa sasa wa Man United Louis van GaalMourinho amekuwa akiandikwa kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa kama yeye ndio atakuwa mrithi wa Louis van Gaal msimu ujao.
Habari mpya zilizoripotiwa na Sky Sports News leo May 17 2016 ni kuwa kwa zaidi ya mwezi sasa uongozi wa klabu ya Man United umemthibitishia Jose Mourinho kuwa ndio atakuwa kocha wa Man United mwanzo mwa msimu, kama Louis van Gaal akiondoka ndani ya klabu hiyo.
Ripoti hiyo imeeleza kuwa Mourinho atakuwa na nafasi hiyo kutokana na Ryan Giggsambaye ni kocha msaidizi kutopewa nafasi ya kufanya vizuri akiwa kama kocha wa timu hiyo, kwa muda mrefu sasa Louis van Gaal amekuwa akihusishwa kutaka kufukuzwa naMan United.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment