TRAILER: Movie ya Action niliyokutana nayo Cinema Dar jana.. Idris Elba kafanya yake

Noma inaanzia kwa mwizi wa kuchomolea watu mifukoni, anaiba mkoba wenye bomu ambao alikua kaubeba Mrembo aliyetumwa kwenda kulipua mahali, baadae mwizi huyu akautupa kwenye pipa la taka bila kujua nini kilikuwemo ndani… tazama hii Trailer hapa chini.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment