Ufahamu wimbo ambao Christian Bella angependa kuurudia kama Cover (+Audio)..

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori  zote za April 27 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori hizo ni hii ya msanii wa dance nchiniTanzania Christian Bella kaeleza ni wimbo gani angependa kuurudia kama cover.
Baada msanii huyo aliulizwa ni wimbo gani angependa kuurudia kuimba kama cover, alifunguka hivi……..
>>>’Mimi napenda sana kusikiliza nyimbo za kizungu ningependa kurudia ‘With you’ ya Chriss Brown, mimi siwezi kusikiliza tena ngoma za dansi kwenye gari yangu kwa sababu hizo ndio nyimbo nilizokuwa nazo, sasa hivi inabidi niwasikilize watu tofautitofauti‘:- Chritian Bella
20160503_145355
Kusikiliza Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini Pia unaweza kuniachia comment yako….
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment