
Kama wewe ni shabiki wa movie za X Men, sasa time hii wamekuja na movie mpya iitwayo X Men- Apocalypse ambayo ndani wameshiriki mastaa wakali akiwemo,Professor X, Magneto, Beast na Jennifer Lawrence na wengineo wapya.
Movie hiyo mpya itaanza kuoneshwa leo Mei 27 2016 kwenye theater mbalimbali za Dar es Salaam, tazama hii Trailer hapa.

0 comments:
Post a Comment