VIDEO: Episode 3 ya Warembo wa Tanzania walivyojitokeza kuonyesha vipaji vya kuigiza kwenye Xballer

Ernest Napoleon ni mwigizaji kutokea Tanzania ambaye uwezo wake tayari ameshauonyesha kwenye movie ya Going Bongo ambayo ilizihusisha nchi mbili ambazo ni Marekani na Tanzania.
Sasa hivi anajiandaa kufanya movie yake nyingine inaitwa X Baller na imebidi atafute mrembo wa kuigiza nae Dar es salaam, baada ya kuachia episode 1&2 ya audition hizo sasa ameachia hii episode 3 itazame hapa chini….

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment