VIDEO: Harmonize alivyompandisha kwenye stage mama yake na kumtambulisha Jackline Wolper

Usiku wa May 27 2016 wakazi wa Mtwara walipata burudani kutoka kwa w na Msanii kutoka Label ya Wasafi, Harmonize ambaye aliongozana na mpenzi wake Jackline Wolper, Kabla ya kumtambulisha Jackline Wolper kwa wakazi wa Mtwara ambapo ni nyumabi kwao, Harmonize alimpandisha mama yake kwenye stage.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment