VIDEO: Hii ndio sababu kuu iliyosababisha mizigo bandari ya Dar es Salaam kupungua

Habari za kupungua kwa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam ziliingia kwenye headlines, baada ya vyombo vingi vya habari kuandika na kuripoti kuhusiana na ishu hiyo, kupitia kwa kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya Bandari Tanzania Injinia Alois Matei ameweka wazi sababu za mizigo kupungua.
>>>“Biashara za bandari dunia nzima zimeshuka kipindi hiki kuna mtikisiko kidogo kutokana na uchumi wa dunia, hata juzi tuliongea na wenzetu wa Singapore ambao walikuja, nchi yao ni moja ya nchi inayofanya biashara ya bandari kwa kiasi kikubwa wanasema ni kweli wamekumbana na tatizo hilo”
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment