VIDEO: Kilivyohappen kwenye Pool Party 2016


Usiku wa April 29 2016 watu wangu  waliozaliwa March na April walikutana kipande cha Regency park hotel mikocheni Dar es salaam Kwenye Pool Party. Usiku huo ulipambwa na wasanii kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva akiwemo Ben Paul, Izzo Bizness, Navy Kenzo na wengineo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment