VIDEO: Mambo matatu aliyoyaongea Ronaldo baada ya mchezo kumalizika na kutinga fainali ya UEFA

Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa siku 15 bila kucheza mechi yoyote ya ushindani kwaCristiano Ronaldo, Usiku wa May 4 2016 aliingia kwenye headlines baada ya kucheza mchezo wa nusu fainali ya pili dhidi ya Man City akitokea majeruhi na kuisaidia klabu yake kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
Ronaldo alinaswa katika interview baada ya mechi kumalizika lakini amekaririwa akiongelea mchezo na kueleza kuwa wao walicheza vizuri kuliko Man City, walitengeneza nafasi nyingi kuliko Man City, kuhusu majeruhi alisema anashangaa kwa watu wenye mashaka na fitnes yake kwani yeye yupo fiti.
“Ulikuwa ni mchezo mgumu lakini nafikiria kuwa tulicheza vizuri zaidi ya Man City, licha ya kutotumia nafasi tulitengeneza nafasi nyingi kipindi cha kwanza na cha pili, kuhusu majeruhi mimi nipo sawa japokuwa watu wana mashaka na fitness yangu sijui kwa nini, fainali ya UEFA natoa aslimia 50 kwa 50 kwetu sisi kushinda au Atletico”
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment