VIDEO: Miaka 7 iliyopita tarehe kama ya leo Mei 2, Real Madrid walikutana na kipigo cha goli 2-6 dhidi ya FC Barcelona


Ulimwengu wa soka miaka 7 iliyopita tarehe kama ya leo  Mei 2 2016 inakumbuka mchezo wa kihistoria ambapo kwa Hispania unaitwa mchezo wa El Clasco uliokuwa unazihusisha timu za Real Madrid dhidi ya FC Barcelona katika uwanja wa Santiago Bernabeu, huu ni mchezo ambao Real walikuwa na wachezaji wengi nyota. Jikumbushe kwa kuangalia video ya mchezo hapa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment