May 15 2016 mtu wangu wa nguvu ambaye unapenda mchezo wa mpira wa miguu, naomba nikukutanisha na mashambulizi hatari ndani ya mchezo wa soka yaliofanikiwa kuokolewa dakika za mwisho na mabeki baada ya golikipa kupitwa, haya ni mashambulizi ambayo mabeki wameokoa katika position ambazo asilimia kubwa inaaminika kuwa mpira utaingia wavuni.VIDEO: Top 10 ya mashambulizi hatari yaliompita kipa, yakaokolewa na beki
May 15 2016 mtu wangu wa nguvu ambaye unapenda mchezo wa mpira wa miguu, naomba nikukutanisha na mashambulizi hatari ndani ya mchezo wa soka yaliofanikiwa kuokolewa dakika za mwisho na mabeki baada ya golikipa kupitwa, haya ni mashambulizi ambayo mabeki wameokoa katika position ambazo asilimia kubwa inaaminika kuwa mpira utaingia wavuni.

0 comments:
Post a Comment