VIDEO: Yanayotajwa kuwa ni magoli ya bahati kufungwa katika sok

Kuna baadhi ya matukio ya kiufundi katika soka hutokea mara chache sana hususani wakati wa kufunga, haijalishi tukio hilo kafanya mchezaji gani na kwa wakati gani au ana uwezo kiasi gani, ila kuna vitu ambavyo anaweza akafanya pasipo yeye kutarajia, hii ni video yenye mkusanyiko wa magoli ya bahati kuwahi kufungwa katika soka.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment