Diamond Platnumz na kundi la muziki la Afrika Kusini Mafikizolo ambao watatumbuiza mbele ya Wanachuo wa UDOM leo Dodoma, walialikwa na Waziri Nape Nnauye kuingia bungeni Dodoma kama wanavyoalikwa Wageni wengine.
Wakati wanaingia kulikua na baadhi ya Wanafunzi wamealikwa pia na walipomshtukia Diamond
walianza kupiga kelele za furaha kumuona staa huyu wa bongofleva
wanaemkubali, unaweza kuwatazama kwenye hii video fupi hapa chini.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment